(A) SEKTA YA KILIMO
Utangulizi.
Halmashauri ya Wilaya ya Tabora ina jumla ya eneo lenye hekta ______ ambapo eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta _________na hekta ______________ ndizo zinatumika kwa kilimo cha mazao ya chakula, biashara, mboga na matunda.
Lengo la sekta ya kilimo
Mwelekeo wa Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Tabora ni “Kuwatoa wakulima katika uzalishaji wa kujikimu waweze kuzalisha kwa tija, kulima Kibiashara na kuwawezesha kukuza mitaji kwa kutumia mbinu endelevu ili kuwa na wakazi wanaojitosheleza kwa chakula na wenye kipato bora ifikapo 2025’’.
Shughuli za Seksheni ya Kilimo
(B) SEKTA YA USHIRIKA
Lengo la sekta ya ushirika
Kuwa na vyama vya ushirika na SACCOS imara ili kukuza kipato kwa jamii
Shughuli za Seksheni ya Ushirika
I. Kuhamasisha uundaji wa vyama vya Ushirika na SACCOS
II. Kusimamia uandikishaji wa SACCOS na Vyama vya Ushirika
III. Kutoa elimu ya uendeshaji na usimamizi wa vyama vya Ushirika na SACCOS
IV. Kusimamia na kufanya ukaguzi wa vyama vya Ushirika na SACCOS
V. Kukusanya takwimu za uzalishaji na kuandaa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Ushirika
Idadi ya vyama vya Ushirika na SACCOS.
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.