• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi |
    • Barua pepe za Watumishi |
Uyui  District Council
Uyui  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Kimsingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Administration and Human Resource
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Envinment and Sanitation
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za baraza la madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Mwekekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba Mbalimbali

HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI YATUMA BARUA YA PONGEZI KWA RAIS SAMIA

Imewekwa: November 2nd, 2021


 

NA TIGANYA VINCENT

HALMASHAURI ya Wilaya ya Uyui imetuma barua ya pongeza kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia  kiasi cha shilingi bilioni 3.6 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vyumba 123 vya madarasa kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19 .

Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Said Ntahondi kwa niaba wenzake alimkabidhi barua hiyo Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani kwa ajili ya kumfikishia Rais Samia.

Alisema kwa kipindi kifupi cha uongozi wa Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia , Uyui imepata fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu, afya, maji na miundombinu ya barabara.

Alisema kati ya fedha hizo shilingi bilioni 2.4 ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya Sekondari na bilioni 1.1 kwa ajili ya vyumba vya madarasa katika Shule Shikizi.

Ntahondi alisema kuwa kiasi cha shilingi milioni 90 ni za  ujenzi wa nyumba za watumishi  wa sekta ya afya na milioni 14.1 kwa ajili ya fedha za ufuatiliaji.

Alisema watahakikisha watumia kiasi cha shilingi  milioni 20 kukamilisha darasa moja kama walivyoekelezwa .

Ntahondi aliongeza hivi  Madiwani na Watendaji wa Halmashauri hiyo wamejipanga kusimamia ili kuhakikisha fedha zinatumika kwa makusudio yalipangwa.

MAELEZO KATIKA PICHA.

Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Saidi Ntahondi akimkabidhi barua Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dk. Batilda Buriani kwa ajili ya kumfikishia Rais Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUPANGA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA VYA BIASHARA KWENYE VITUO VYA MABASI ISIKIZYA NA TURA November 25, 2022
  • KUITWA KAZINI September 07, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA November 04, 2022
  • TANGAZO LA KUPANGISHA MAENEO YA KUJENGA VIBANDA VYA BIASHARA STENDI YA MAGARI ISIKIZYA June 11, 2021
  • Soma zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA UYUI AGAWA PIKIPIKI NANE KWA WATENDAJI WA KATA

    February 28, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI YAGAWA PIKIPIKI TANO KWA WATENDAJI WA KATA

    December 08, 2022
  • KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA UYUI YASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI

    December 08, 2022
  • MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 61YA UHURU TAREHE 09-DESEMBA 2022

    December 06, 2022
  • Soma zote

Video

SAMIA SULUH
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari Mpya

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Tabora RAS
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Watumishi Portal
  • Tabora MC

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Uyui District Council

    Anuani ya Posta: S.L.P 610

    Simu ya Mezani: +255 26 296 6008

    Simu ya Mkononi: (1) +255 766616985

    Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.